About me

I’m Daudi and I will be your guide throughout all of the courses. With over 10 years of experience working as mentor, I teach millions of people each year how to write, publish and market their books. Enrolling in any of our courses will you give access to my assistance when needed.

Featured books

Unapokisoma kitabu hiki utatoka ukiwa na nguvu mpya ya kuandika kitabu chako na hatimaye kutimiza ndoto yako ya kuwa mwandishi wa kitabu. Naandikaje kitabu? Ni swali ambalo nimejibu katika kurasa zinazofuata. Mimi naamini, kuandika kitabu ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza

Available on these platforms

Unapoanza kusoma kitabu hiki unakuwa umeanza safari ya siku 25 za kuwa mwandishi aliyefanikiwa. Utafanikiwa kutimiza ndoto yako ya kuandika, na kuuza kitabu chako kwa mafanikio. Kwenye hatua yoyote uliyoko sasa kitabu hiki kitakuwa msaada kwako. Upo tayari kuanza siku 25 za kuwa mwandishi?

Available on these platforms

 Unapokisoma kitabu hiki, utapata utajiri wa mbinu za kukusaidia kwenye kuandika, kutoa na kuuza kitabu chako. Pia utafahamu makosa ya kuepuka na namna ya kutatua makosa ambayo waandishi huwa wanakwama kupata utatuzi wake. Upo tayari kuanza safari nzito ya kusoma sura sita zilizoshiba?

Available on these platforms

Hakuna anayezaliwa anajua kuandika lakini ni ujuzi ambao kila mtu anaweza kujifunza na kwa kadiri unavyoendelea kuandika ndivyo mchakato unavyokuwa rahisi zaidi. Hivyo basi, ni matumaini yangu ukimaliza kusoma kitabu hiki utaweza kuandika kitabu cha ndoto yako.

Available on these platforms

Book reviews