About me

I’m Daudi and I will be your guide throughout all of the courses. With over 10 years of experience working as a mentor, I teach millions of people each year how to write, publish and market their books. Enrolling in any of our courses will you give access to my assistance when needed.

Why take a course?

Flexibility

Courses are scheduled around your life so you can fit them in when your mind is ready to learn.

Certificate

Certificate of completion upon finishing the course. You will do quizzes & tests.

Mentorship

Any course that you take will be accompanied by the free mentorship from me. You gain more.

Featured courses

Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Kujifahamu wewe ni aina gani ya mwandishi
  2. Kujua aina gani ya kitabu uandike
  3. Kufahamu njia tatu za kuandika kitabu
  4. Kuchagua njia itakayokufaa ya kuandika kitabu
  5. Mambo manne (4) ya kuzingatia wakati unaandika kitabu

Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Kwa nini unapata tabu sana kuuza kitabu chako
  2. Sifa nne ambazo utazizingatia unapoanza kuandika kitabu chako
  3. Utofauti wa kitabu kizuri na kitabu bora
  4. Maswali matatu ya kujiuliza kabla haujaanza kuandika kitabu chako
  5. Unafanyaje kitabu chako kiwe na sifa zinazotakiwa

Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Kwanini utoe ebook?
  2. Suluhisho la kukosa kitu cha kuandika
  3. Hatua sita za kuandika ebook
  4. Napataje muda wa kuandika ebook?
  5. Uandike wapi?
  6. Mchakato wa kutoa eBook – I
  7. Mchakato wa kutoa eBook - II

Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Nini maana ya jukwaa la kuuza/kuuzia kitabu
  2. Nini maana ya njia za kuuza kitabu
  3. Tofauti ya jukwaa la kuuza/kuuzia kitabu na njia za kuuza kitabu
  4. Kuchagua njia ya kuuza kitabu ambayo utaanza kuitumia kuuza kitabu chako
  5. Kufahamu zana muhimu ambazo zitakusaidia katika uuzaji wa kitabu chako
  6. Nini kinafuata baada ya kuuza kitabu

Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Mtazamo sahihi kuhusu uuzaji wa vitabu
  2. Kuweka mkakati wa kuuza kitabu
  3. Mbinu ya Bullseye Framework (BF)
  4. Unahitaji nini ili ufanikiwe?
  5. Ujuzi wa kutoa kitabu bure kimkakati
  6. Uchaguzi wa njia za kuwafikia wasomaji wako
  7. Jinsi ya kujenga jukwaa lako kama mwandishi

 Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Uzinduzi wa kitabu ni nini? 
  2. Kwanini ufanye uzinduzi wa kitabu 
  3. Wapi pa kuanzia?
  4. Aina 4 za uzinduzi wa kitabu
  5. Kabla ya uzinduzi, vitu hivi viko tayari?
  6. Mambo ya kufanya kabla ya siku ya uzinduzi
  7. Siku ya uzinduzi na baada ya uzinduzi wa kitabu

Baada ya kusoma kozi hii, utaweza kufanya mambo yafuatayo;

  1. Kuandika kitabu kizuri cha ndoto yako, kupanga bajeti ya kukitoa na kukifikisha kwa wasomaji
  2. Kukuza jukwaa lako kama mwandishi
  3. Utajua jinsi ya kutoa eBook bora kwa wasomaji kwa kuzingatia vitu muhimu
  4. Utajua jinsi ya kutengeneza launch team unapotaka kufanya uzinduzi wa kitabu na namna ya kupanga bei ya kitabu

Frequently asked questions

Yes, it is free. My mentorship is accompanied by a course, with that said, it is compulsory for you to take a course that you like and get my mentorship when needed.

Upon completion of the course that you have taken, you will get a certificate of completion to congratulate you for the completing the course. You will receive the certificate after 3 days in your email

Don't worry, my courses are designed to work around your busy schedule so you don’t have to change your routine to make it work.

Success stories!.

Get The Whole Bundle!

Want access to every course at a massive discount? Enrolling in DaudiPages Academy Complete Bundle will grant you lifetime access to the entire catalog of courses! There are no monthly or yearly membership fees. Enrollment is a one-time investment that will grant you lifetime access!